Monday, November 11, 2013

Chief Uyeka akikabidhi vifaa vya michezo kutoka Uingereza kwa mfadhili wetu Sean Millar kwa uongozi wa Segerea Veterans ukiongozwa na Mhe: Ally Katembo na Rehani Masoud

kupasha wapashe samba yanga walikuwa wanajiweka sawa tu
Mkwala mkwalani na msala msalani, hapa ilikuwa ni mikakati kumchinja mnyama, Mao Mkami, Ball Dancer, Leonard Richard Ghetto, Chief Uyeka Rumbyambya, Athumani Daraja Ayawi, Zola, Kibona na Yacub Matula Cisse
 

Wana wa Msimbazi tawi la Segerea Veterans wakiongozwa na wachezaji wao wa zamani, Spear Mbwembwe na Ally Ruvu walikuwa na mkwala mzito, wanaonekana kina Brown Francis, Shebby Machumani, Abbas Kiroge, Mhe: Ramadhani Maleta na wengineo wakitishwa na Mhe: Ally Katembo wa Yanga Africans

wakati wa mapumziko hapo Tabora All Stars kina Mrisho Moshi, Credo Mwaipopo, Ahmeid Mwinyimkuu, Idd Selemani na wengine wengi washakula 3-1 mpaka half time.... chezea Diego na Ghetto.... Mao Mkami na Ally Ruvu walikishikila kiungo, kibona, majugwa, msafiri, Mtilikwa walikuwa imara kwenye ulinzi , waheshimiwa Ramadhani Maleta na Ally Katembo wakikimbiza kwenye wingers


Monday, October 22, 2012

apa marehemu Oming'o alikuwa anafuatilia kwa karibu mpambano uliokuwa ukipigwa kati ya Segerea na Mburahati Veterans.